BREAKING NEWS: Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila mmoja.Taarifa zaidi zitakujia endelea kuwa nasi
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI MOTOMOTO ZA KILA SIKU,PIA BOFYA HAYO MATANGAZO UNAYOYAONA KWA KUJIFUNZA(USIPITWEEE)
No comments:
Post a Comment