Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, December 4, 2013

BREAKING NEWS: TRENI LA MWAKYEMBE LAGOMA KUONDOKA KWA TAKRIBANI MASAA MATATU HAPA STATION YA POSTA


 Baadhi ya wananchi waliofika mida ya saa 11 za jioni wakielekea kwenye traini la Mwakyembe. Hii imetokana na kutokea kwa itilafu kwenye Engine ya Traini ilo. Kutokana na tatizo ilo Imepelekea usumbufu kwa abiria waliofika toka saa 10 na wengine kufika saa 9 lakini hakuna ufumbuzi uliotolewa kuhusu tatizo ilo.


Baadhi ya abiria wakiwa wamepumzika baada ya kukaa kwenye Train la Mwakyembe kwa muda mrefu
Abiria wanaotumia usafili wa treni jijini dar wamekwama kwa takribani masaa matatu sasa kwenye stesheni ya posta.Chanzo cha kutoondoka kwa treni hilo inasemekana ni hitilafu kwenye moja ya vichwa vya treni hiyo hivyo kusababisha kutoondoka kituoni hapo.Abiria wwengi wamekwama na wanalalamika bila kupata majibu ya uhakika kutoka kwa uongozi wa TRL.

No comments:

Post a Comment