Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, December 4, 2013

HII NDIYO LIST YA VIDEO 32 ZILIZOANGALIWA SANA YOUTUBE, DIAMOND ASHIKA NAMBA 1 WAKATI IZZO B AKIWA AMESHIKA MKIA..!!



Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka huu, mtandao wa bongo5 umeandaa orodha ya Music Videos za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi katika mtandao wa Youtube 2013.
Diamond Platnumz ndiye mfalme wa orodha hii, video yake ya ‘My Number One’ iliyowekwa Youtube September 2, 2013 imetazamwa mara 1,258,363, kiasi ambacho hakuna music video nyingine ya bongo iliyoweza kufikisha hata robo yake (kwa mujibu wa orodha hii).
Orodha hii imeangalia video zilizowekwa kuanzia January 2013 hadi leo, lakini imezingatia video ambazo angalau zimeweza kufikisha views kuanzia 10,000 na kuendelea. Kwa zile video ambazo zimewekwa na watu wengi youtube, tumechukua moja ambayo ndio ina views nyingi zaidi.
youtube2
Hii ni orodha kamili ya Music Videos 32 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi Youtube 2013.
1.Diamond Platnumz – My Number One
Imewekwa: September 2, 2013
Views: 1,258,363
2.Lady Jaydee ft. Professor Jay – Joto Hasira

Imewekwa: March 15, 2013
Views: 190,688
3.Lady Jaydee – Yahaya
Imewekwa: August 17, 2013
Views: 166,792
4.Rich Mavoko – One Time
Imewekwa: March 18, 2013
Views: 157,931
5.Keisha ft. Diamond – Nimechoka
Imewekwa: January 24, 2013
Views: 102,386
6.Nay Wa Mitego & Diamond – Muziki gani
Imewekwa: May 26, 2013
Views: 99,724
7.Ben Pol – Jikubali
Imewekwa: Jun 10, 2013
Views: 97,970
8.Shaa – Lava Lava
Imewekwa: March 28, 2013
Views: 86,814
9.Snura – Majanga
Imewekwa: June 20, 2013
Views: 86,271
10.Jux – Uzuri wako
Imewekwa: September 2 , 2013
Views: 80,509
11.Young Killer Msodoki & Stamina ft Quick Rocker – Jana na Leo
Imewekwa: August 14, 2013
View: 80,169
12.Madee – Sio Mimi
Imewekwa: April 22, 2013
Views: 74,893
13.Shilole – Paka la bar
Imewekwa: May 17, 2013
Views: 73,517

14.AT ft. Dida – Kitumbua

Imewekwa: July 5, 2013
Views: 71,072
15.Abdu kiba ft Ali kiba – Kidela
Imewekwa: June 20, 2013
Views: 68,717
16.Quick Rocka ft. Ngwair & Shaa – My Baby
Imewekwa: June 23, 2013
Views: 56,787
17.Mwana FA & AY- Bila Kukunja goti
Imewekwa: October 11, 2013
Views: 51,511
18.Vanessa Mdee – Closer
Imewekwa: June 12, 2013
Views: 51,174
19.Stamina ft Darasa & Warda – Mwambie Mwenzio
Imewekwa: September 3, 2013
Views: 44,281
20.Lucci & Jokate – Kaka Dada

Imewekwa: August 23, 2013
Views: 40,953
21.Shilole – Nakomaa na Jiji
Imewekwa: November 8, 2013
Views: 35,880
22.Ommy Dimpoz Ft. Vanessa Mdee – Me and You
Imewekwa: March 2, 2013
Views: 34,662
23.Shetta ft. Rich Mavoko – Sina Imani
Imewekwa: July 15, 2013
Views: 33,777
24.Feza Kessy – Amani ya moyo
Imewekwa: June 23, 2013
Views: 32,995
25.Shaa – Sugua gaga
Imewekwa: November 4, 2013
Views: 29,889
26.Snura – Nimevurugwa
Imewekwa: November 22, 2013
Views: 23,539
27.Roma – 2030
Imewekwa: November 1, 2013
Views: 23,210
28.Darasa ft. Winnie – Nishike Mkono
Imewekwa: January 16, 2013
Views: 21,057

29.Matonya – Sembule

Imewekwa: July 7, 2013
Views: 18,215
30.Timbulo – Sina makosa
Imewekwa: June 20, 2013
Views: 17,345
31.Kala Jeremiah ft. Ben Pol – Karibu Dar
Imewekwa: March 16, 2013
Views: 17,110
32.Izzo B ft. Barnaba & Shaa – Love Me
Imewekwa: July 12, 2013
Views: 10,662/. 

Source: Bongo5
 

No comments:

Post a Comment