Picha chini ni CEO wa Tv Imaan Br Ally Ally Ajiraan
akionesha bahasha ya barua waliopewa na Tume ya mawasiliano Tanzania
(TCRA) yenye maelezo kuhusu Tv Imaan.
Na chini ni barua yenyewe. Hii ni ishara nzuri inayo
ashiria kuwa Tv hiyo ambayo ni kipenzi cha waumini wa kiislam na Tv ya
kwanza ya kiislam nchini Tanzania itakuwa hewani muda ambao si mrefu.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
No comments:
Post a Comment