Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, December 4, 2013

HII NDIYO TAHADHARI ILIYOTOLEWA NA KAMPUNI YA PORSCHE KUHUSU GARI NILIYOSABABISHA KIFO CHA PAUL WALKER NA ROGE.


Kampuni inayomiliki gari za Porsche ilitoa taadhari kwa maduka yanayouza gari aina ya Porsche Carrera GT kuwa sio gari ya kawaida na haitakiwi kuendeshwa na dereva wakawaida tu. Taadhari hio inaendelea kusema 
kuwa Carrera GT ni gari iliyotengenezwa na kiwango cha karibu sana na gari za mashindani so inamadharana inahitaji uangalifu unaoipa gari ya mashindano ikiwa barabarani.

Taadhari hii imetumwa kwenye maduka yote kutoka Makao Makuu Ya Porsche  toka mwaka 2004 siku chahce kabla ya Carrera GT Kuingia sokoni.


Taadhari hii pia inamwambia dereva kuhusu barabara ya kupita wakati unatumi gari hiii. Report iko hapa.


Kutoka kwa repoti hii hakuja saidia uchunguzi wa sababu ya ajali hii baada ya kuona kuwa barabara waliyotumia ilikuwa barabara bora sana kama barabara zingine kwenye mitaa hio na kuwa Roger alikuwa dereva mzuri sana na mpaka sasa polici hawajasema chanzo cha ajali isipokuwa kasi tu ya gari hio ndio imesababisha vifo vya watu hawa wawili. NA Sammisago.com

No comments:

Post a Comment