Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 30, 2013

HILI BASI JIPYA LA AZAMU NI KIBOKO...KILA KITI KINA TV,CHOO NDANI,FRIJI, YANI NI SHIDAAAA


Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.

TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
Kitu cha maana
Kila siti ina TV
Kuna friji
Kuna choo

No comments:

Post a Comment