Gavana wa
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) , Prof. Benno Ndulu, akisaini mfano wa
cheti cha Mpango wa Taifa wa Huduma za Fedha wenye lengo la kusimamia
na kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazozorotesha huduma za fedha
nchini. Wanaoshuhudia nyuma (katikati) ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kulia kwake ni Malkia
Maxima wa Uholanzi (kushoto) ni Naibu Waziri wa Fedha Sada Mkuya Salumu.
Hafla hiyo imefanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Benki kuu ya
Tanzania, jijini Dar es Salaam.
Wakifurahia baada ya kusaini cheti hicho cha mfano....
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa Taifa wa Huduma za
Fedha, wenye lengo la Kusimamia na kutatua ufumbuzi wa changamoto
zinazozorotesha huduma za fedha nchini. Hafla hiyo imefanyika leo kwenye
Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam.

Malkia Maxima
wa Uholanzi, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa Taifa
wa Huduma za Fedha wenye lengo la Kusimamia na kutatua ufumbuzi wa
Changamoto zinazozorotesha huduma za fedha nchini. Hafla hiyo
iliyohudhuriwa pia na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal imefanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Benki
Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam, leo.
Malikia
Maxima wa Uholanzi, akibofya kitufe kama ishara ya uzinduzi wa Mpango wa
Taifa wa Huduma za Fedha. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam,
leo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
(katikati) Malkia Maxima wa Uholanzi na Naibu Waziri wa Fedha, Sada
Mkuya Salumu, wakiwa wameshikilia Mpango wa Taifa wa Huduma za Fedha
baada ya kuzinduliwa leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Benki Kuu ya
Tanzania.
Baadhi ya
wadau wa Sekta za Fedha waliohudhuria uzinduzi huo wakimsikiliza Makamu
wa Rais, Dkt. Bilal, alipokuwa akihutubia, wakati wa uzinduzi.
Baadhi ya
wadau wa Sekta za Fedha waliohudhuria uzinduzi huo wakimsikiliza Makamu
wa Rais, Dkt. Bilal, alipokuwa akihutubia, wakati wa uzinduzi.
No comments:
Post a Comment