Baadhi ya wafanya biashara walioalikwa katika sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo jana,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Kikundi
cha Calture Muzical Club,kikitumbuiza wakati wa sherehe za uzinduzi wa
Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,zilizofanyika jana katika
ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort, {Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.] Miongoni mwa Viongozi,wafanyabiashara na wananchi walioalikwa katika sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi
Zanzibar,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Zanzibar
Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo jana,{Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.] Picha
ya kuchora ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
DK.Ali Mohamed Shein,iliyobebwa na Katibu wa kamati ya Mfuko wa
Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,Ali Khamis ikinadishwa kuuzwa
katika Uzinduzi wa Mfuko huo jana,katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo jana,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Viatu vya makubadhi Mkurugenzi wa Rakgas
Zanzibar Protase Ishengoma,wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa
Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar, katika ukumbi wa mikutano
Zanzibar Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo jana,{Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]Katibu
wa kamati ya Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar, Nd,Ali
Khamis na Mshereheshaji wa Sherehe za uzinduzi wa mfuko huo Chimbeni
Khair,wakinadisha Picha Mji Mkongwe wa Zanzibar iliyotengenezwa kwa
ubunifu wa kutumia majani makavu ya Mgomba,katika hafla ya iliyofanyika
jana katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,{Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa PPF Willium Erio, Picha
Mji Mkongwe wa Zanzibar iliyotengenezwa kwa ubunifu wa kutumia
majani makavu ya Mgomba,aliyonunua kwa shilingi za Kitanzania Millioni
Tano, wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi
Kiuchumi Zanzibar, katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort
jana,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
NMB YATOA MSAADA WA VIFAA VYA SH. MIL. 23 KATIKA SHULE 3 MUFINDI
-
Benki ya NMB imetoa msaada wa mabati 150 na madawati 150 kwa shule za
msingi KASANGA, KISASA na SAWALA zilizopo wilayani Mufindi mkoani Iringa
vyenye tha...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment