Spika wa
Bunge Mhe. Anne Makinda akikata utepe kuzindua matumizi ya magari mawili
ya kubebea wagonjwa yaliyonunulia na Ofisi ya Bunge. Pembeni ni Mjumbe
wa Tume ya Utumishi ya Bunge ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. William Lukuvi.


Katibu wa
Bunge na Spika wakikagua magari hayo. Katikati ni muuguzi mwandamizi
kutoka Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Bi. Cecilia Sanya.
(Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge)
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

No comments:
Post a Comment