Hii
ndo Rasimu ya Pili ya Katiba mpya iliyokabidhiwa kwa Rais
Kikwete leo...Nimejitahidi kuikuza ili iweze kusomeka vizuri....
Rasimu hii ni ndefu kidogo, ina ibara 271 ikilinganishwa na ile ya kwanza ambayo ilikuwa na ibara 240...
Rasimu
iko hapo chini, ukipabofya itafunguka kwenye tab mpya ili
uweze kuisoma vizuri....Upande wa juu kushoto kuna option ya
kui download....
No comments:
Post a Comment