Ni
watu wengi duniani wameguswa na kifo cha Mzee Nelson Mandela kutokana
na historia yake ya kipekee ambapo kuanzia mataifa ya Asia,Ulaya,
Marekani, wanamichezo, waigizaji hadi watu wa kawaida wameonyesha
masikitiko yao.
Headline mpya inamuhusisha msanii nguli wa hiphop The Game ambaye ni mpenzi mkubwa wa tatoo ambapo sasa hivi amechora tatoo kubwa za sura za wanae, Barack Obama, Trayvon Martin na Nelson Mandela akiangalia nje ya gereza.
The Game alishea picha akionyesha tatoo hiyo kubwa na kuandika “The finished ‘Nelson Mandela’ lookin out of the prison bars by @NikkoHurtado done on my side. 7 hour sitting…. Few more hours to tie in the tats around it & we solid,”.
Huyu sio msanii wa kwanza wa hiphop Marekani kuonyesha kuguswa na kifo cha Mzee Mandela, Busta Rhymes ni miongoni mwa walioguswa na kuandika masikitiko yake kwenye twitter, Nicki Minaj pia aliandika yake ya moyoni na akaamua kumalizia kwa maneno matatu ya kiswahili… ‘Madaraka kwa watu’

No comments:
Post a Comment