Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, December 10, 2013

KAMPUNI YA VOLKSWAGEN IMESITISHA UTENGENEZAJI WA GARI AINA YA KOMBI



Kampuni ya Volkswagen imeacha kuzalisha gari aina ya olkswagen Kombi lakini kwa wale ambao wanalipenda gari hilo wataweza kununua toleo la mwisho (limited final edition) kwa kiasi cha pound £26,000.

Kiwanda hicho kinaachana na utengenezaji wa magari hayo kutokana na masharti mbalimbali ya usalama kama uwekaji wa Air Bags na anti-lock braking. Kwa muda wa miaka 63 magari haya ya kombi yamekuwa yakitumika kwa shughuli mbalimbali ulimwenguni kote
.



No comments:

Post a Comment