STAA
wa filamu za Kibongo,Jackline Wolper amesheherekea siku yake ya
kuzaliwa na watoto wa shule ya chekechea pamoja na watoto yatima.
Picha
mbalimbali ambazo msanii huyo alizopost kupitia mtandao zinaonyesha
akitoa zawadi mbalimbali kwa watoto hao,ambapo mshabiki wake
wamempongeza kwa kufanya hivyo.





No comments:
Post a Comment