Nyumba
ya moja mali ya Mzee Nampembe,Mkoani Lindi. imeteketea kwa moto jana
Usiku na kupelekea baadhi ya mali zilizokuwemo ndani ya nyumba huyo
kushindwa kuokolewa. Hali hiyo ilipekekea Wananchi wa eneo la jirani na
nyumba hiyo kupiga mawe gari la zimamoto baada ya kuchelewa
kufika eneo la Tukio kwa ajili ya kuzima moto huo.
Mmoja kati ya wakazi wa nyumba hiyo amepoteza fahamu toka jana baada ya kupatwa na Mshituko. Chanzo cha Moto imeelezwa kuwa ni Mshumaa baada ya kukosekana Umeme mjini Lindi usiku wa jana.
Picha na Abdulaziz Video, Lindi

Wasamalia waliokuwepo eneo la tukio wakisaidiana kumbeba mtu mmoja aliepoteza fahamu baada ya kutokea kwa tukio hilo.
Vilio vilitawala wakazi wa nyumba hiyo baada ya kutokea kwa tukio hilo.
Sehemu ya mali zilizookolewa.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
PICHA KWA HISANI YA MICHUZI BLOG
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
PICHA KWA HISANI YA MICHUZI BLOG
No comments:
Post a Comment