Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, December 26, 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 26/12/2013

 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 26/12/2013.


[Mikoa ya Ruvuma,Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na  Rukwa]:
[Mikoa ya  Kigoma na Tabora]:
[Mkoa wa Morogoro ( Kusini)]:



Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na  vipindi vifupi  vya jua.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mkoa wa Singida]:



Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na  vipindi  vya jua.

[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:



Hali ya mawingu kiasi,  mvua katika  maeneo machache na vipindi  vya jua

[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mkoa wa Dodoma]:



Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya jua

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C                          
13°C               
12:25
12:39
D'SALAAM
33°C           
25°C
12:06
12:36
DODOMA
31°C
20°C
12:22
12:48
KIGOMA   
28°C
22°C
12:48
01:10
MBEYA
25°C
15°C
12:26
01:02
MWANZA
28°C
20°C
12:40
12:52
TABORA
26°C
17°C
12:36
12:58
TANGA
32°C
24°C           
12:11
12:33
ZANZIBAR
32°C           
26°C           
12:06
12:36

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa kasi ya km 40  kwa saa kwa Pwani ya  
                                 Kaskazini na kutoka Kaskazini  kwa kasi ya km 30 saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi hadi makubwa

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 28/12/2013: Mabadiliko kidogo     

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 26/12/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

No comments:

Post a Comment