Kiboko akiwa amekatika eneo la mgongoni kutokana na upungufu wa maji katika mto Ruaha Mkuu
Hali ya
mto Ruaha mkuu kwa sasa ni mbaya kutokana na maji yake kupungua siku
hadi siku kutokana na shughuli za binadamu kuharibu vyanzo vya maji.
Chanzo: Hakimu Mwafongo
Habari ndugu yangu hizi picha za kiboko ni nimepiga mimi na zipo katika blogu yangu inakuweje useme picha amepiga Hakim Mwafongo? kweli sijapenda kusema uongo katika kazi zangu
ReplyDelete