Magari
haya yakiwa katika eneo la jali hiyo mazizini ZRB, yakiwa katika mtaro
wamaji machafu baada ya kupoteza muelekeo na kupata ajali hiyo.
Wananchi
wakiangalia Magari yaliokuwa yakifutana katika barabara ya kiembesamaki
na kuacha njia na kuingia katika mtaro maeneo ya mazizini, kwa mujibu
wamashuhuda wa ajali hiyo gari la nyuma aina ya Rav 4 kufunga breki
wakati wakikata kona kuelekea barabara ya ZRB,na kupoteza muelekeo na
kuingia katika mtaro huo na gari yambele ilikowa ikilivita kuiagukia kwa
juu.
No comments:
Post a Comment