Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 29, 2014

PICHA::HIVI NDIVYO MSANII WA KUNDI LA FUTUHI "DUDE OMARY" ALIVYOZIKWA NA MAMIA YA WATU

DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU IKIENDELEA
KUELEKEA MALALONI
WAFANYAKAZI WA SAHARA MEDIA LTD STAR TV,KISS FM NA RFA WAKIWA MSIBANI KATIKA SURA ZA MAJONZI

Kwa mapenzi mema na urafiki hata watoto wadogo walishiriki kuweka mchanga kuusitiri mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa kundi la uchekeshaji wa luninga la FUTUHI marehemu Omary Majuto al maarufu kwa jina la Mzee Dude aliyefariki jana jioni majira ya saa 11 hivi. 
BAADA YA KUUGA MWILI WA MAREHEMU ZOEZI LA KUMSTIRI LIKAFUATA.

BURIANI MZEE DUDE WA DUDE

MABROTHER KATIKA PICHA YA KUMBUKUMBU.

VIJANA WAKIJITOA KWA MOYO KUMZIKA MZEE DUDE

USHIRIKINANO ULIKUWA MKUBWA SANA

WAIGIZAJI WA FUTUHI WAZAMANI NA SASA WALIKUTANA NA KUPATA MUDA WA KUTETA JAMBO KUHUSU MZEE DUDE AMBAO WOTE WALIFANYA NAYE KAZI.

MAZIKO YAKIENDELEA

BAADA YA MAZIKO WATU WAKIREJEA NYUMBANI KWA DUDE KUOMBOLEZA.

WAFANYAKZI WA SAHARA NEDIA WALIKUWEPO KWA WINGI ENEO LA MSIBA.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHARI PEMA PEPONI

No comments:

Post a Comment