Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 27, 2014

AJALI:: GARI LAINGIA NDANI KWA PRODUCER NA KUMGONGA HADI KUMSABABISHIA MAJERAHA


Producer Dupy
Producer wa UPRISE MUSIC DUPY amegongwa na gari baada ya gari kugonga studio na kuingia CHUMBANI kwa DUPY akiwa amelala! Pia amepata majeraha kidogo tunashukuru mungu ni mzima ila amepata maumivu ya mkono na kichwa kidogo ila all in all niko salama.
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZIKIONYESHA HARI ILIVYO ENEO LA TUKIO 



No comments:

Post a Comment