skip to main |
skip to sidebar
CHADEMA WAFUNIKA CHIMALA WAKIONGOZWA NA SUGU,DK SLAA
Aliyekuwa
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Isitu, Chimara mkoani
Mbeya, Felix Komba akizungumza katika mkutano wa Operesehni M4C Pamoja
Daima mbele ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Dk. Willibrod Slaa, baada ya katibu huyo kujiunga na Chadema
wakati wa mkutano huo uliofanyika Chimara jana
Wananchi
wa mji wa Njombe na vitongoji wakiwa katika mkutano wa hadhara wa
Operesehni M4C Pamoja Daima, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), uliofanyika mjini Njombe jana.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
akiwahutubia wananchi wa mji wa Makmabako, katika mkutano wa hadhara wa
Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
akiwasili katika mji wa Chimara mkoani Mbeya, ambako alifanya mkutano wa
hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.
No comments:
Post a Comment