Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na
mgeni wake Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.
Ikulu Dar.
Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika
picha ya pamoja na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad.
Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na
Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, alipofika
Ikulu Dar kuonana na Rais Kikwete (Picha na Salmin Said OMKR)
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
No comments:
Post a Comment