Beki wa Manchester United, Fabio Da Silva amefaulu vipimo vya afya kuhamia Cardiff
Wilfried Zaha anatarajiwa kujiunga na Cardiff kwa mkopo after limited first team opportunities at Man United
WACHEZAJI wawili wa Manchester United, Wilfried Zaha na Fabio Da Silva wapo karibu kujiunga na Cardiff City.
Winga wa
United, Zaha amekwenda kufanyiwa vipimo vya afya St George Park kuekelea
kukamilisha uhamisho wa mkopo hadi mwishoni mwa msimu, wakati bek Fabio
anatarajiwa kusaini Mkataba wa moja kwa moja.
Zaha amekuwa akitakiwa na Cardiff tangu Oktoba na sasa ndoto za klabu hiyo kumpata nyota huyo zinatimia. Chanzo: binzubeiry
No comments:
Post a Comment