Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 16, 2014

HUZUNI:::MUME AMMWAGIA TINDIKALI MKE WAKE KATIKA UGOMVI WA KUGOMBEA MALI HUKO KAKOLA KAHAMA.

 

MARIA Nkwabi [33] Mkazi wa Kijiji cha Kakola akiwa katika Hospitali ya wilaya ya Kahama baada ya kumwagiwa Tindikali na Mumewe;Ray Chobe katika ugomvi unaodaiwa kugombea mali.
Jeshi la Polisi Wilayani Kahama limethibisha kutokea kwa tukio hilo na bado wanaendelea kumsaka mtuhumiwa huyo.
MWONEKANO WA BI MARIA NKWABI BAADA YA KUPATA HUDUMA YA KWANZA.
Picha na Shija Felician wa Kijukuu Blog Kahama.

No comments:

Post a Comment