Tafadhali
husika na kichwa tajwa hapo juu. Mhe. Naibu Waziri, Lazaro Nyalandu
atakutana na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini na wadau
mbalimbali wa sekta ya Maliasili na Utalii kutangaza rasmi matokeo ya
sense ya tembo iliyofanyika mwezi Oktoba na Novemba mwaka jana katika
mifumo ikolojia ya Selous – Mikumi na Ruaha – Rungwa.
Wizara inatoa mwaliko kwa waandishi wote kuhudhulia mkutano huo
utafanyika Ijumaa ya Tarehe 10/01/2014 saa 4:00 asubuhi katika Hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam. Imetolewa na Chikambi K. Rumisha Msemaji
wa Wizara ya Maliasili na Utalii 7/1/2014
Serikali yaweka Mkakati Sekta ya Uzalishaji wa Dawa, yaanzisha Vivutio
Maalum Mloganzila na Kibaha
-
*Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam*
*Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza uwekezaji mkubwa wa
kimkakati katika sekta ya uzalishaji wa daw...
58 minutes ago


No comments:
Post a Comment