Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 27, 2014

MKUU WA POLISI WILAYA (OCD) IRINGA APATA AJALI

Askari  walilikuwa  wakielekea katika mkutano   wa uzinduzi wa  kampeni  za CCM kata  ya  Nduli Iringa mjini wakitazama gari  ambalo alikuwa akiendesha  OCD Iringa  lililopata  ajali majira ya saa 10 jioni leo  jumapili japo hakuna  aliyepoteza maisha  ktk ajali hii iliyotokea  kona  la Mgongo barabara ya Iringa-Dodoma.
wasomi  wa  chuo  kikuu cha Iringa wakitazama  ajali hiyo

No comments:

Post a Comment