Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 15, 2014

Mustakabali wa misri kwenye mizani


Kwa siku mbili zijazo, Wamisri watajua ikiwa watakuwa na katiba mpya au ikiwa rasimu ya katiba inayopigiwa kura haitaidhinishwa.

Nchi hii imekuwa ikikumbwa na hali ngumu ya kisiasa tangu mapinduzi ya kiraia yaliyomwondoa mamlakani Hosni Mubarak.

Baadhi walihisi huo ndio ulikuwa mwisho wa siasa mbaya lakini baadaye rais aliyechaguliwa kihalali Mohammed Morsi, aliondolewa mamlakani na jeshi.Chanzo BBC Swahili

No comments:

Post a Comment