Hii ni ajali mbaya ya piki piki iliyotokea eneo la Ilala katika Manispaa ya Iringa ikiwa ni dakika 20 baada ya kuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014 |
Wasamaria
wema wakisaidia kushusha majeruhi ambao wamepata ajali ya pikipiki
usiku huu wakati wakiuanga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014 leo
mjini Iringa PONGEZI JESHI LA POLSI IRINGA GARI LILILOSABABISHA AJALI YA BODABODA YAPATIKANA USIKU HUUChanzo;Fransis godwin blog TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE) |
No comments:
Post a Comment