Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 10, 2014

MWONEKANO WA STAA WA MOVIE ARNOLD SCHWARZENEGGER AKIWA AMETIMIZA MIAKA 66 SASA



Huyu ni star wa Filamu ambaye kwa hakika Hakuna asiye mfahamu kabisa, katika Tasnia  hii ya sanaa ya uigizaji wa Filamu Duniani. Inawezekana hufahafu kuwa ARNOLD ana watoto wa watano ambao ni  Patrick Schwarzenegger, Katherine Schwarzenegger, Joseph Baena, Christopher Schwarzenegger, Christina Schwarzenegger na kipenzi chake MARIA. Anorld amezaliwa July 30, 1947 kwa sasa na Miaka 66.
 

Arnold Amezaliwa Austria, pia hizi ni Baadhi ya kazi anazozifanya  Muigizaji, Mwanasiasa, Mfanyabiashara, Mwekezaji, na wa zamani na Bodybuilder kitaaluma. Schwarzenegger aliwahi vipindi viwili kama Gavana wa 38 wa jimbo la  California kuanzia mwaka 2003 hadi 2011.

TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)


 Movie alizowahi kuigiza ni  Terminator: GenesisThe Expendables 3Sabotage,CaptiveUnknown SoldierPredatorThe Last Stand na Nyingine Nyingi
Kweli Miaka hairudi Nyuma! Ni Kizee cha mika 66 sasa
Hapa Arnold akiwa na kipezi chake Maria Shriver

Schwarzenegger na familia yake: Arnold na Maria na watoto (Kushoto) Christopher, Patrick, Katherine na Christina mwaka 2003

Wambele ni mtoto wa  Arnold na Mildred Baena wakiwa pamoja mitaa ya nyumbani kwao
Arnold na wanawe wawili , Patrick na Christopher

Marafiki vipenzi: Bruce Willis, Arnold Schwarzenegger na Sylvester Stallone 

Bruce Willis, Arnold Schwarzenegger na Sylvester The Expendables in 2010 

 Arnold Schwarzenegger(kushoto)  Sylvester stallon(katikati) na Bruce Willis(Kulia)  The Expendables in 2013

No comments:

Post a Comment