Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, January 18, 2014

PATA TASWIRA 14 ZA ULALAJI WA WATOTO NA UNAWEZA KUJIFUNZA KITU KUPITIA PICHA HIZI ZA WATOTO

Mapacha wakikuwa watakuwa mamodel ukipitia picha unaweza kujifunza kitu
Huyu  akikuwa ni mcheza Rugby
Huyu nae akikuwa atakuwa comedian 
Hapa wa nyuma akikua atakuwa Dr na wa mbele atakuwa Prof.


Hapa hata wewe unajua akikuwa atakuwa nani
Huyu nae habari ndiyo hii live bila chenga unaweza kujua tu.
Huyu akikua atakuwa reporter 
Na huyu akikua atakuwa padri
Akikua atakuwa Actress 
Engineer wa kesho huyo 
Huyu akikua hata kuwa bartender 
Akikua atakuwa judge 
Akikua atakuwa Nurse 
Hapa ndiyo Sociology wetu
 TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)

No comments:

Post a Comment