Kipre
Tchetche akimtoka beki wa Rhino Rangers, Laban Kambole katika mchezo wa
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi.
Kipre Tchetche akipiga mpira uliozaa bao pekee la timu Azam FC.
Mshambuliaji wa Azam FC, Kone Mohamed (katikati), akiwania mpira huku akizongwa na beki wa Rhino Rangers.
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre TcheTche akimiliki mpira huku
akizongwa na beki wa timu ya Rhino Rangers, Julius Masunga katika mchezo wa
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar
es Salaam. Azama ilishinda 1-0.
Kipre Tchetche akimshukuru Mungu baada ya kuifungia timu yake bao.
No comments:
Post a Comment