Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 10, 2014

PICHA ZAIDI JINSI MOTO UNAWAKA KATIKA JENGO LA KR KARIBU NA SHELI YA VICTORIA








Jengo la RK lililokaribu na eneo la Jet katika Barabara ya Nyerere karibu na sheli ya Victoria linaendelea kuwaka moto mkubwa chana huu ambao umefika katika eneo la ghala la kuhifadhia madawa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wapo eneo la tukio ambako hali bado si shwari.
Sehemu iliyoathirika zaidi  ni ghala la kutunzia dawa za binadamu la kampuni ya Philips.
PICHA NA MDAU SHUMBUSHO


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE) 

No comments:

Post a Comment