Wakazi
wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar wakiwa kwenye kituo cha basi cha
Mbezi mwisho asubuhi hii kusubiria usafiri wa kwenda mjini Dar es salaam
kwa shughuli mbalimbali. Hali kama hii utaikuta maeneo ya
Mbagala, Gongo la Mboto, Temeke Mwisho na kwingineko katika muda huu.
Jioni halihii huonekana Posta Mpya, Mnazi Mmoja na Msimbazi. Je, nini
kifanyike kupunguza adha hii? Na hao ni abiria wa mabasi, bado wenye
magari binafsi na usafiri mwingine, wote wakielekea katikati ya jiji.
ILA NYIE CCM NI NOMA SANA, YAANI UBAYA UBWELA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
NILIKUWA Najiongelesha tu kichwani kuhusu hii CCM basi nikajikuta nacheka
tu,ndio kununa siwezi. CCM kwa jinsi walivyo hawa ...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment