Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 15, 2014

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AMKABIDHI RAIS KIKWETE VITABU VYA HOTUBA ZAKE

D92A8005Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo amemkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya vitabu vya hotuba zake alizozitoa kwa nyakati tofauti wakati wa uongozi wake wa miaka kumi.Pichani Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akikabidhi Rais Kikwete vitabu hivyo katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.VitABU hivyo vimechapishwa na kampuni ya Mkuki na Nyota chini ya Mkurugenzi wake Bwana Walters BugoyaD92A8011D92A8012Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment