Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 6, 2014

SAD NEWS: Mez B anusurika kifo baada ya kushambuliwa vibaya na kisu na mtu asiyemfahamu. Msikilize hapa akisimulia


Mwanamuziki wa kundi la chamber squad mez b amenusurika kuuawa na mtu asiyejulikana baada ya mtu huyo kumshambulia msanii huyo kwa kutumia silaha aina ya kisu,siku ya ijumaa iliyopita.
Mez b amesema ilikuwa ni saasita usiku walikuwa wakitoka yeye na msanii mwenzake noorah,wakiwa njiani ndipo walikutana na mtu asiyemfahamu ambaye alikuwa anatoa matusi kuhusu Rais,ndipo mez b akaamua kumuuliza kwanini anatoa matusi  namna hiyo?na matusi  yanayomhusu Rais?si bora hata ututukane sisi kuliko kumtukana kiongozi mkubwa wanchi yetu.


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
Mez anasema ndipo mtu huyo alipoanza kumshambulia kwa kisu maeneo ya usoni na kumjeruhi,zaidi msikilize hapo chini akiongea na Times Fm Radio

No comments:

Post a Comment