Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, February 4, 2014

BREAKING NEWS: WATU 12 WAKAMATWA NA SHEHENA KUBWA YA MADAWA YA KULEVYA WAKIYAINGIZA ZANZIBAR


 Picha kutoka Maktaba

Watu 12, wanaodaiwa kuwa ni raia wa Iran na Pakistan wamekamatwa na shehena kubwa la madawa ya kulevya katika Bahari ya Hindi wakiwa wanaelekea Zanzibar kwa jahazi.

Chanzo: RADIO1 STEREO

No comments:

Post a Comment