| Jitihada za kuuzima moto huo zilivyokuwa
BWENI la wavulana wa shule ya sekondari Njombe mkoani Njombe limeteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa
|
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Njombe, Fulgency Ngonyani amesema moto
huo ulisababishwa na hitilafu ya umeme iliyotokea katika bweni hilo.
Alisema bweni hilo lilikuwa likitumiwa na wanafunzi 42 wa kidato cha tano na sita.
Pamoja na kuteketeza mali hizo, moto huo haukumdhuru mwanafunzi hata mmoja kwani ulipoanza kuwaka wengi wao hawakuwepo bwenini.
Uongozi wa shule hiyome umekadiri hasa iliyotokana na moto huo kuwa zaidi ya Sh Milioni 63

No comments:
Post a Comment