
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na kumkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest
Mangu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Feb 4, 2014, kwa mazungumzo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 4, 2014, kwa
mazungumzo. Picha na OMR

No comments:
Post a Comment