Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, February 8, 2014

MISS TANZANIA USA JOY KALEMERA ATAMBULISHWA RASMI UBALOZI WA TANZANIA JIJINI WASHINGTON DC.

Founder wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Casey akiwa na Beauty Queen Miss Tanzania USA 2014 Joy Kalemera mara baada ya kuwasili ubalozi wa Tanzania Washington DC kwa Utambulisho rasmi Tarehe Feb 7, 2014.
Beauty Queen Miss Tanzania USA 2014 Joy Kalemera akitia sahihi katika kitabu cha wageni ramsi katika Ubalozi wa Tanzania Washington DC kwa Utambulisho rasmi, huku pembeni yake Founder wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Casey akishuhudia.  Tarehe Feb 7, 2014.
Beauty Queen Miss Tanzania USA 2014 Joy Kalemera mara baada ya ukaribisho rasmi katika Ubalozi wa Tanzania Washington DC Tarehe Feb 7, 2014.
Mhe Balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula, Miss Tanzania USA Queen Joy Kalemera na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wakipata picha ya kumbukumbu, Feb 7, 2014
Mhe Balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula, Ma Winny casey, Miss Tanzania USA Queen Joy Kalemera na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wakipata picha ya kumbukumbu, Feb 7, 2014
Asha Nyang'anyi na Miss Tanzania USA Queen Joy Kalemera  wakipata picha ya kumbukumbu, Feb 7, 2014
For More info visit www.swahilitv.info

No comments:

Post a Comment