Msimamizi
wa uchaguzi jimbo la Kalenga Bi Pudensiana Kisaka akimkabidhi fomu ya
kugombea nafasi ya ubunge wa jimbo la Kalenga Bi. Grace Tendega
anayeiwakilisha CHADEMA katika ukumbi wa sayansi na kilimo cha wilaya ya
Iringa vijijini leo hii.
kiongozi
huyo wa CHADEMA alipokuwa anawasili katika eneo la ukumbi huo kwenda
kuchukua fomu hiyo ambayo kwa mujibu ya sheria za uchaguzi huo inatakiwa
kurudishwa tarehe 18/02/2014 (kesho, Jumanne)
msimamizi
wa uchaguzi wa jimbo hilo la Kalenga; Bi. Pudensiana Kisaka alipokuwa
anamkaribisha kiongozi huyo wa CHADEMA, Bi. Grace Tendega kuchukua fomu
hiyo katika ukumbi huo.
Bi. Grace
Tendega alipokuwa anakaribia kukabidhiwa fomu hiyo ya ugombea wa nafasi
ya ubunge katika jimbo hilo la Kalenga kupitia CHADEMA
wajumbe wa CHADEMA waliohudhuria tukio hilo leo.
Kiongozi
huyo (Grace Tendega) alipokuwa katika ofisi ya CHADEMA wilaya ya Iringa
katika eneo la Mshindo; alipokuwa akijibu maswali waandishi wa habari.
Na Riziki Mashaka.
No comments:
Post a Comment