Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, February 11, 2014

SIO BONGO TU KUMBE MPAKA ULAYA. ANGALIA WEZI WALIVYOLIFANYA GARI LA ROBERT LEWANDOSKI.

lewacar
Usiku wa kuamkia Jumatatu wezi wanaodhaniwa kuwa mashabiki wa klabu ya Borrusia Dortmund wamemfanyia kitu mbaya mshambuliaji klabu hiyo Robert Lewandoski baada ya kuifanya gari la mshambuliaji huyo kuwa ‘screpa’ kwa kuiba matairi yote ya gari hiyo.
1779178_10152012642147946_1881541384_n

Gari hilo aina ya Porsche Cayenne lilikuwa limepaki nje ya nyumba ya mshambuliaji huyo huko Ujerumani, wezi waliiba matairi yote na kuliacha gari hilo juu ya mawe. Kwa mujibu wa gazeti la Bild, sasa itamgharimu Lewandowski kiasi cha €2,500 kuweza kuifanya gari hiyo itembee tena.

 
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)

No comments:

Post a Comment