Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, February 10, 2014

TAZAMA PICHA::IRINGA NAKO MADUKA YAFUNGWA KUKWEPA KUTUMIA MASHINE ZA TRA

 Hapa ni maeneo maarufu ( kama mtaa wa congo dar) sana mkoani Iringa,panajulikana kama Miyomboni kukiwa kimya kutokana maduka yote ya bidhaa muhimu yamefungwa na wananchi wanaendelea kupata taabu kutokana na mgomo wa kutumia mashine za kutolea risiti za TRA.
(picha zote na Denis Mlowe )
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments:

Post a Comment