Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, February 11, 2014

VIDEO KUTOKA ITV NEWS(UINGEREZA) ILIVYO PELELEZA BIASHARA YA PEMBE ZA NDOVU INAVYO FANYIKA TANZANIA, WACHUKUA VIDEO YA WAUZAJI BILA WAO KUJITAMBUA. TAZAMA

Timu ya kituo cha runinga cha Uingereza cha ITV News imefanya upepelezi katika soko la uuzaji wa pembe za ndovu nchini Tanzania kuonesha jinsi ilivyo rahisi kunununua bidhaa hiyo haramu.
Akijifanya kama mfanyabiashara kutoka China, mwandishi wa kituo hicho alizungumza na wafanyabiashara wa pembe hizo na kumhakikishia kuwa anaweza kupata oda yake pembe za ndovu sita ndani ya wiki mbili baada ya wao kuingia msituni na kwenda kuua tembo.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
The team is offered more products on condition they remain “discreet”
Our team enters a market stall and asks about buying ivory
Timu ya ITV News ikiwa kwenye kibanda chenye wafanyabiashara wa pembe za ndovu ambao kwa nje wanaonekana wakifanya biashara ya vinyago na bidhaa zingine za mikono
Kamera zilizokuwa zimefichwa ziliwarekodi wauzaji hao wakiahidi kuisaidia timu hiyo kusafirisha pembe hizo kwenda nchini China.



ZAIDI SOMA HAPA: BONGO 5

No comments:

Post a Comment