........akionesha uso wa hudhuni baada ya kichapo.
Askari wa
usalama barabaranui (hayupo pichani) anadaiwa kumjeruhi dereva bodaboda
eneo la vingunguti jijini dar. Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa,
tukio hilo limetokea leo majira ya mchana wakati dereva huyo alipokutana
na askari akiwa amebeba abilia wawili maarufu kama"mshikaki". baada ya
askri huyo kutaka kupata maelezo ya kina kutoka kwa dereva huyo, ndipo
ikatokea hali ya kutyoelewana ndipo askari huyo huyo aliamua kumzaba
kibao na kumjeruhi kama picha zinavyoonesha hapo juu.
(PICHA NA: HARUNI SANCHAWA/ GPL)
No comments:
Post a Comment