Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Al Ahly
Mshambuliaji
wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa akiondoka na mpira huku Beki wa Timu ya
Al Ahly ya Misri akitafuta namna ya kumzuia katika Mchezo unaoendelea
hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi sasa.Dakika
45 za kipindi cha kwanza zimemalizika na hakuna timu iliyoona lango la
mwenzake. CHANZO MTAA KWA MTAA BLOG
Kiungo
mchezeshaji wa Yanga,Haroun Niyonzima akitafuta namna ya kuwatoka mabeki
wa Timu ya Al Ahly ya Misri katika Mchezo unaoendelea hivi sasa kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi sasa.Dakika 45 za kipindi cha
kwanza zimemalizika na hakuna timu iliyoona lango la mwenzake.
Kiungo
mchezeshaji wa Yanga,Haroun Niyonzima akizuiwa na Beki wa Timu ya Al
Ahly ya Misri,Ramy Abdel Aziz katika Mchezo unaoendelea hivi sasa kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi sasa.Dakika 45 za kipindi cha
kwanza zimemalizika na hakuna timu iliyoona lango la mwenzake.
Kipa wa
timu ya Al Ahly ya Misri,Sherif Ekramy Ahmed akida moja ya hatari
iliyokuwa ikielekeshwa langoni kwake na Mshambuliaji wa Yanga,Hamis
Kiiza.
No comments:
Post a Comment