
Anaweza kuwa ametajwa zaidi kwenye tuzo za KTMA 2014 lakini Diamond Platnumz hajaliacha Baraza la Sanaa Tanzania likae kwa amani kwa uonevu ilioufanya kwa Jux, Madee na Snura kutokana na kuziondoa nyimbo zao kwenye mchakato wa KTMA 2014.
Kupitia Instagram, Diamond ameandika:
Ikiwa kweli tunalengo la kutoipotosha kimaadili jamii yetu na vizazi vyetu pendwa, nafikiri ni vyema tungeanza kuzuia Video na nyimbo za kutoka nje, kuliko kuzuia nyimbo na video za nyumbani ambazo uchafu wake Haufikii hata robo ya uliopo kwenye Nyimbo zinazopewa kipaumbele toka nje… Hii ni sawa na kuzidi kuukuza mziki wa nje huku tukiudidimiza na kuua mziki wetu… Will the target of reaching our goals ever be achieved?? #Ni_Mtazamo_tu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
She loves the attention! The mother-of-one couldn't seem to get enough of the flashing lights as she posed. Flawless: The America...
sek design. Powered by Blogger.
Followers
Social Icons
On Twitter
Total Pageviews
My Blog List
-
WAZIRI WA FEDHA BALOZI OMAR KUSHIRIKI MKUTANO WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA NCHINI CONGO BRAZAVILLE - Na Benny Mwaipaja, Congo, Brazaville. Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amewasili nchini Congo, Brazzaville, amabako atashiriki Mk...1 hour ago
-
Dkt. Kuhenga azungumza Dhima ya vyombo vya habari kwa wanafunzi wa Kimataifa - *Na Mwandishi Wetu* *Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dkt. Dotto Kuhenga, ametoa mhadhara kuhusu nafasi ya vyombo vya habari nchini Tanzan...2 days ago
-
Muungano : Ubalozi wa Tanzania Zimbabwe Waadhimisha Miaka 62 ya Muungano wa Tanzania. - Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Zimbabwe umeadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanzania katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Hyat...3 weeks ago
-
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC - Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili kuimarisha mbi...3 months ago
-
TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA MAKUBALIANO MAKUBWA YA UWEKEZAJI - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew L...5 months ago
-
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - Mhe. *Dkt. Samia Suluhu Hassan* ameapishwa rasmi kuwa *Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania* katika sherehe zilizofanyika leo, *Novemba 3, 2025*, kati...6 months ago
-
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi ya V - *1. VOA Sauti ya America * www.voaswahili.com *2. Vijimambo* lukemusicfactory.blogspot.com1 year ago
-
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku - Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multic...7 years ago
-
BLOGU YA LEWIS MBONDE BLOG YASITISHA KUTOA MAUDHUI MTANDAONI - Kutokana na matakwa ya kisheria ya maudhiu ya kutoa huduma za kimtandao bila kuwa na leseni iliyotolewa na mamlaka ya udhibiti wa huduma za mawasiliano t...7 years ago
-
-
Shilole Achora Tatoo ya Mwisho Yenye Jina la Mumewe - Mwanamuiki wa kike ambae pia ni mjasiriamali, Shiloleh ameonyesha tatoo aliyochora kwenye mwili wake yenye jina la mume wake mpendwa uchebe yenye jina ‘AS...8 years ago
-
“AFRICAN BEAUTY” IS JUST ANOTHER ONE FROM DIAMOND PLATNUMZ & OMARION WHICH MIGHT BE THE JAM OF THE CONTINENT - The Tanzania Recording Artist Diamond Platnumz released “African Beauty” off his just premiered album “A Boy From Tandale”. The album features Top Artist...8 years ago
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS - NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA *PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS* ------------------------------ ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOM...8 years ago
-
-
Mashabiki hawajui, kukaa kimya kwenye muziki sio kupotea kwenye muziki – Ommy Dimpoz - Muimbaji Ommy Dimpoz amesema ukimya wake kwenye muziki sio kwamba alipotea bali alikuwa anafanya mambo mengine nje ya muziki. Ommy Dimpoz amesema watanz...9 years ago
-
KARIBU ruvumahabari.blogspot.com kwa habari na matukio zaidi - *KARIBU ruvumahabari.blogspot.com kwa habari na matukio zaidi*10 years ago
-
-
-
-
-
-

No comments:
Post a Comment