Kampuni
ya google imekanusha habari zilizotapakaa kwenye mitandao mbalimbali
duniani kwa kuweka picha ya Google Map ambayo inaonesha ndege ya
Malaysia Airline ikiwa imedondondoka ndani ya maji. Msemaji wa google
nchini Malaysia amesema
"Yes,
the images may be there, but it is not real time satellite images as
the images may have provided to us several weeks or months ago," he said
when contacted.
Hii imetokana na kutapakaa kwa picha inayoonesha ndege ya Malaysia Airline imedondoka kwenye maji.
Mpaka
sasa meli zipatazo 40 na ndege 34 zinazunguka bahari inayizunguka
maeneo ya Vietnam na Malysia wakitafuta ndege ya Malaysia Airline
iliyopotea toka jumamosi.
Nchi zinazoshiriki kuitafuta ndege hiyo ni Australia, China, Thailand, Indonesia, Singapore,
Vietnam, Philippines, New Zealand na Marekani.
No comments:
Post a Comment