Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Lefoord Simba, mtoto wa
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, wakati
alipofika nyumbani kwa Waziri Masaki jijini Dar es Salaam, kutoa
pole.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia
Simba, wakati alipofika nyumbani kwake Masaki
jijini Dar es Salaam, jana kutoa pole kwa kufiwa na mtoto wake, Lefoord
Simba. Mazishi yatafanyika leo kwenye Makaburi ya Kinondoni
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba,
wakati alipofika nyumbani kwa Waziri Masaki jijini Dar es Salaam, jana
kutoa pole kwa kufiwa na mtoto wake, Lefoord Simba. Mazishi yatafanyika leo kwenye Makaburi ya Kinondoni.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini Mkapa, Waziri
mstaafu (wa pili kulia) Mjumbe wa Nec Wilaya ya Busega, Chegeni (kulia)
na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja, wakizungumza jambo
wakati wakijumuika kwa pamoja katika maombolezo ya msiba wa Lefoord
Simba, mtoto wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba,
Masaki jijini Dar es Salaam
Baadhi ya waombolezaji......
No comments:
Post a Comment