Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, March 17, 2014

PICHA YETU YA SIKU::MTAZAME SAMWELI SITTA AKIONYESHA UWAJIBIKAJI WA KUJALI MDA

Mh Samweli Sitta akiwahi kwa haraka kabisa kuingia ndani ya Bunge la katiba.Kama alivyosema ni mchapa kazi na na anajali mda ukweli tunaona.Wiki hii ni muhimu sana kwa Taifa letu kwani vikao vya katiba vinaanza ramsi kwa umakini na kuchambua kwa undani.Mungu ibariki Tanzania

No comments:

Post a Comment