

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Bishara na Mjumbe Maalumu wa Rais wa Ufaransa Mhe. Nicole Bricq ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Mjumbe huyo aliwasilisha ujumbe huo wa Rais wa Ufaransa Francois Hollande na kufanya mazungumzo na Rais Kikwete(picha na Freddy Maro)

No comments:
Post a Comment