Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye kitabu
cha maombolezo nyumbani kwa aliyewahi kuwa mkuu wa kitengo cha maafa
katika ofisi ya Waziri Mkuu Meja Jenerali Bakari Shaabani huko Ada
Estate jijini Dar es Salaam jana.Marehemu amezikwa nyumbani kwao huko
Unguja Zanzibar Jana.Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa aliyewahi kuwa mkuu wa
kitengo cha Maafa katika ofisi ya Waziri Mkuu Meja Jenerali Bakari
Shaabani nyumbani kwake Ada Estate jijini Dar es Salaam jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho mbele ya jeneza
la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha maafa meja Jenerali Bakari Shaabani
nyumbani kwake Ada Estate jijini Dar es Salaam jana.Mwili wa marehemu
ulisafirishwa jana kwenda Zanzibar na kuzikwa.(picha na Freddy Maro)
SHINDANO LA MABINGWA LA EXPANSE MILIONI KUSHINDANIWA
-
KITITA cha shilingi milioni moja taslimu kushindaniwa kupitia shindano la
michezo ya kasino ya Expanse, Hivo wewe mdau wa michezo ya kasino unaweza
kua m...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment